Habari

​WANAWAKE WAHIMIZWA KUJIUNGA NA MAJUKWAA

Wito umetolewa kwa Wanawake kujiunga na majukwaa ya uwezeshaji kiuchumi Ili kujadili na kufahamishana kuhusu fursa za Maendeleo na uchumi.... Soma zaidi

Imewekwa: Mar 27, 2023

WAZIRI DKT. GWAJIMA AWAPA MBINU UWT MIKOA, KUKABILI MASUALA YA UKATILI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa viongozi hususani wanawake kubeba ajenda ya kukabiliana na ukatili... Soma zaidi

Imewekwa: Mar 22, 2023

​KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA TENGERU MATUMIZI MAZURI YA FEDHA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo na Ustawi wa Jamii, imeipongeza Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru kwa matumizi mazuri ya fedha kwenye mradi wa Bweni la wanachuo lililogharimu sh. Bil. 2.7.... Soma zaidi

Imewekwa: Mar 20, 2023

​KAMATI YA BUNGE YAFURAHISHWA NA UKUAJI WA KASI KAMPASI YA KISANGARA

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma za Ustawi na Maendeleo ya jamii imefurahishwa na ukuaji wa kasi wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Kampasi ya Kisangara, wilayani Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro.... Soma zaidi

Imewekwa: Mar 17, 2023

​WALEZI WA WATOTO KUPIKWA KWA MTAALA MMOJA- KAMISHNA MSAIDIZI MAKONA,

Serikali ipo mbioni kukamilisha Mwongozo wa Mafunzo wa Malezi ya Watoto wadogo na wachanga ili kuleta uwiano na uelewa unaofanana wa ufundishaji wa Malezi na Makuzi kwa nchi nzima.... Soma zaidi

Imewekwa: Mar 13, 2023

KAMATI ZA MTAKUWWA NGAZI YA VIJIJI /MITAA ZITENGEWE BAJETI YA KUTOSHA- KAMATI YA BUNGE

​Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii Mhe. Fatma Tawfiq ameishauri Serikali kutenga bajeti ya kutosha katika kutekeleza majukumu ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum... Soma zaidi

Imewekwa: Mar 11, 2023