Makazi ya Wazee Magugu
Makazi ya Wazee Magugu
Makazi haya yapo wilayani Manyara mkoani Manyara
Huduma zinazotolewa:
-
Mahitaji ya Msingi(Chakula, Malazi& Mavazi
-
Huduma za Afya
-
Msaada wa Kisaikolojia na Kijamii
-
Kuunganisha Wazee na Familia zao
-
Huduma za Kiroho