Ufuatiliaji na Tathmini
Ufuatiliaji na Tathmini
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UFUATILIAJI NA TATHMINI
- Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Sera, Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Wizara, mipango ya mwaka, bajeti, programu na miradi kulingana na Mipango ya Kitaifa;
- Kufuatilia na kutathmini Maeneo Muhimu ya Matokeo ya Kitaifa (NKRAs) kwa Wizara;
- Kufanya tathmini ya athari (impact assessments) ya mipango, programu na miradi iliyo chini ya Wizara;
- Kuandaa na kutekeleza Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Wizara;
- Kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo ya tathmini;
- Kutayarisha ripoti za mara kwa mara za U&T kuhusu NKRAs ndani ya Wizara;
- Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Ilani ya Chama Tawala na Maagizo ya Serikali;
- Kufuatilia na kutathmini utendaji kazi wa Wizara wa vipindi na dharura;
- Kufuatilia utendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara;
- Kuratibu mapitio ya utendaji wa kitaasisi/ Mfumo wa Kusimamia Utendaji Kazi wa Taasisi za Umma (PIPMIS); na
- Kuwa chanzo na mtunzaji wa Takwimu za Wizara.