Makazi ya Wazee Sukamahela
Makazi ya Wazee Sukamahela
Makazi haya yapo wilayani Manyoni mkoani Singida
Huduma zinazotolewa:
-
Mahitaji ya Msingi(Chakula, Malazi& Mavazi
-
Huduma za Afya
-
Msaada wa Kisaikolojia na Kijamii
-
Kuunganisha Wazee na Familia zao
-
Huduma za Kiroho