Usajili wa Nyumba Salama
Usajili wa Nyumba Salama
VIGEZO VYA NYUMBA SALAMA
- Hati miliki ya eneo/ Mkataba wa kupanga majengo wa miaka 3
- Utambulisho wa Nyumba kutoka Ofisi ya Mtendaji wa Kata
- Cheti cha Usajili wa Shirika
- Katiba ya Shirika
- Barua ya commitment ya ufadhili kutoka kwa mmiliki/Mfadhili
- Bank statement ya miezi 6
- Fomu na 1
- Fomu Na. 2
- Taarifa ya uchunguzi wa kijamii ya Afisa Ustawi wa Jamii
- Taarifa ya Uchunguzi wa Mazingira Kiafya ya Afisa Afya
- Cheti cha Mtaalam wa Ustawi wa Jamii- Diploma+
- Cheti cha Mlezi wa Watoto- Certificate+
- Cheti cha Afisa Tabibu- Diploma+ IWAPO HAKUNA KITUO CHA HUDUMA ZA AFYA KARIBU NA NYUMBA.
- Walinzi –mmoja Mwanamke