Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Dira na Dhima

Dira

Dira ya Wizara ni  ”Jamii ya Kitanzania yenye Maendeleo endelevu ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni” .

 

Dhima

Dhima ya Wizara ni  ”Kukuza Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii kupitia kutunga na kuratibu utekelezaji wa Sera za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Watoto, Jinsia na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi”