Makazi ya Wazee Njoro
Makazi ya Wazee Njoro
Makazi haya yapo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro
Huduma zinazotolewa:
-
Mahitaji ya Msingi(Chakula, Malazi& Mavazi
-
Huduma za Afya
-
Msaada wa Kisaikolojia na Kijamii
-
Kuunganisha Wazee na Familia zao
-
Huduma za Kiroho