Makao ya Wazee Bukumbi
Makao ya Wazee Bukumbi
Makazi haya yapo wilayani Misungwi mkoani Mwanza
Huduma zinazotolewa:
-
Mahitaji ya Msingi(Chakula, Malazi& Mavazi
-
Huduma za Afya
-
Msaada wa Kisaikolojia na Kijamii
-
Kuunganisha Wazee na Familia zao
-
Huduma za Kiroho