
KAMPENI ZA WIZARA
Wizara kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inatekeleza kampeni tano (5) ambazo ni Kampeni ya malezi, Amsha ari, Inspire to lead, Kampeni ya kitaifa ya kutokomeza ukeketaji nchini na Kampeni ya Ulinzi na Usalama wa Mtoto Mtandaoni. Lengo la Kampeni hizi ni kuimarisha ustawi na Maendeleo ya Watoto, familia na jamii, kutokomeza ukatili wa kijinisa Pamoja na kushawishi wanawake kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
KAMPENI
KAMPENI