Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

INSPIRE TO LEAD
INSPIRE TO LEAD

Inspire to lead ni kampeni ya kuinua ushiriki wa wanawake na wasichana katika uongozi ngazi za mbalimbali uongozi na maamuzi na sekta za kisayansi. Lengo la kampeni ni kuimarisha usawa wa kijinsia nchini na kupunguza ukatili dhidi ya wanawake na Watoto na uewezeshaji wanawake kiuchumi, kubadili mitazamo ya kijamii kuhusu umuhimu wa wanawake na wasichana za uongozi na maamuzi katika ngazi mbalimbali. Aidha, kampeni inalenga kuwezesha wasichana kusoma masomo ya sayansi, uhandisi na hisabati.