ELIMU KURIPOTI VITENDO VYA UKATILI YATOLEWA ZANZIBAR
ELIMU KURIPOTI VITENDO VYA UKATILI YATOLEWA ZANZIBAR
Imewekwa: 16 Feb, 2026
Serikali kwa kushirikiana na Wadau wa maendeleo wakitoa elimu kwa umma juu ya namna ya kuripoti Kesi za unyanyasaji wa kijinsia katika hali ya usalama. Elimu hii itasaidia kupunguza matendo ya unyanyasaji katika jamii.
Utoaji huo wa elimu umefanyika katika viwanja vya kisonge , Zanzibar tarehe 25 Januari 2026.
#EUinTZ #maendeleoyajamii #InspireToLeadTZ