TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
TANGAZO KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
19 Dec, 2024
Pakua
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anayatangazia Mashirika yote Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) kwamba yanatakiwa kuwasilisha taarifa za utendaji kazi (Annual report of activities) pamoja na taarifa za hesabu za fedha za mwaka zilizokaguliwa (Annual audited report) kwa mwaka 2024