Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na makundi maalum inapatikana wapi?

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na makundi maalum  Dodoma inapatikana Chuo kikuu cha Dodoma, Chuo cha sayansi ya Jamii bloku namba 11