Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAJANE DUNIANI 2023

23 Jul, 2024
08:00:00 - 16:00:00
MIKOA YOTE
Afisa Habari , 0766289802

Siku ya Wajane Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 23 Juni. Siku hii iliasisiwa na BwLord Loomba ambaye alianzisha Loomba Foundation mwaka 2005 baada ya Baba yake kufariki tarehe 23 Juni mwaka 1954. Umoja wa Mataifa ulipitisha siku hii kuwa ya Kimataifa kupitia Azimio Na. A/RES/65/189 la tarehe 21 Desemba, 2010.

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAJANE DUNIANI 2023