GHARAMA USHIRIKI WA KONGAMANO NA MKUTANO MKUU - CODEPATA 2026
GHARAMA USHIRIKI WA KONGAMANO NA MKUTANO MKUU - CODEPATA 2026
17 Jun, 2026 - 19 Jun, 2026
08:30:00 - 17:00:00
KWATUNZA BEACH - MWANZA
idarakuumaendeleoyajamii@gmail.com
Chama cha Wataalam wa Maendeleo ya Jamii kinawataarifu wanachama wote kulipia gharama za ushiriki wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa mwaka ili kuepusha usumbufu