Matukio
Mahali |
Manispaa ya Jiji la Dodoma |
---|---|
Tarehe |
2021-09-29 - 2021-09-30 |
Muda |
08:00Hrs - 13:00Hrs |
Madhumuni |
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la NGOs imeandaa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuanzia tarehe 29-30 Septemba, 2021. Mkutano huu utafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma ukiongozwa na KauliMbiu isemayo: "Kuimarisha Mchango wa NGOs katika Maendeleo ya Taifa". Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yanaalikwa kujisajili kupitia: https://register.nacongo.or.tz |
Event Contents |

Washiriki |
Non Govermental Organisations |
Ada ya Tukio |
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la NGOs imeandaa Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kis |
Simu |
0689 489554 au 0737569583 au 0737569584 |
Barua pepe |
ps@jamii.go.tz or dngo@jamii.go.tz |