KUUNGANISHWA KWA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII, VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII UFUNDI NA TAASISI YA MAENDELEO YA JAMII TENGERU
KUUNGANISHWA KWA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII, VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII UFUNDI NA TAASISI YA MAENDELEO YA JAMII TENGERU
30 Jun, 2026
Pakua
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inautangazia umma kuwa, Serikali kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) imefikia uamuzi wa kuviunganisha Vyuo vya Maendeleo ya Jamii, Vyuo vya Maendeleo ya Jamii Ufundi na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru.