WANAWAKE WANA NGUVU HAWANA SAAU YA KUWA WANYONGE
WANAWAKE WANA NGUVU HAWANA SAAU YA KUWA WANYONGE
Imewekwa: 11 Mar, 2025
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) akizungumza leo Machi 4, 2025 wakati wa ufunguzi wa kongamano la Wanawake kanda ya mashariki lililofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.