Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

MAKINDA: AWASHAURI WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2025

Imewekwa: 11 Mar, 2025
MAKINDA: AWASHAURI WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA  UONGOZI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA  OKTOBA 2025

Mhe. Anna Makinda, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasisitiza wanawake kijiamini na kuwania nafasi mbalimbali za za uongozi wakati wa uchagunz imkuu  Oktoba 2025