Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

KONGAMANO NA MKUTANO MKUU WA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII TANZANIA (CODEPATA) 2026

17 Jun, 2026 - 19 Jun, 2026
08:30:00 - 17:00:00
KWATUNZA BEACH - MWANZA
idarakuumaendeleoyajamii@gmail.com

Chama cha Wataalam wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (CODEPATA) kinawataarifu wanachama wote kuendelea na maandalizi ya kushiriki Kongamano na Mkutano Mkuu wa mwaka utakaofanyika katika ukumbi wa Kwatunza Beach tarehe 17 – 19 June, 2026 Jijini Mwanza.  Kwa maelezo zaidi wasiliana na Katibu wa Chama kwa Simu +255 786 077 372

KONGAMANO NA MKUTANO MKUU WA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII TANZANIA (CODEPATA) 2026

slot gacor