Matangazo
TAARIFA YA KUFUTWA KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI
BODI YA URATIBU WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KWA MAMLAKA ILIYONAYO KWA MUJIBU WA KIFUNGU CHA 7 (I) (e) CHA SHERIA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI SURA YA 56 YA SHERIA ZA TANZANIA, KUPITIA KIKAO CHAKE CHA 53 KILICHOFANYIKA TAREHE 14 SEPTEMBA 2024, JIJINI DODOMA INAUJULISHA UMMA KUWA MASHIRIKA YAFUATAYO YAMEFUTIWA USAJILI WAKE KWA HIYARI YAO WENYEWE KUANZIA TAREHE 14 SEPTEMBA, 2024.
MASHIRIKA YALIYOOMBA KUFUTIWA USAJILI NI KAMA IFUATAVYO:-
1. AGE CONCERT TANZANIA (ACT), YENYE USAJILI NAMBA 00NGO/00007303 - DAR ES SALAAM
2. MOGABIRI FARMERS EXTENSION YENYE USAJILI NAMBA 10NGO/R2/00020 - MARA
3. COMPASSION INTERNATIONAL Inc YENYE USAJILI NAMBA 00598- ARUSHA
4. MARYLAND GLOBAL INITIATIVES TANZANIA YENYE USAJILI NAMBA I-NGO/R2/00020 - DAR ES SALAAM
5. YOMBAYOMBA FOUNDATION YENYE USAJILI NAMBA 00NG0/R/4418- PWANI
6. KNOCK FOUNDATION YENYE USAJILI NAMBA 00003155 KILIMANJARO