TANGAZO KWA WAMILIKI WA VITUO VYA KULELEA WATOTO WADOGO MCHANA KUCHUKUA VYETI VYAO
TANGAZO KWA WAMILIKI WA VITUO VYA KULELEA WATOTO WADOGO MCHANA KUCHUKUA VYETI VYAO
13 May, 2025
Pakua
Kamishna wa Ustawi wa Jamii anawatangazia wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo mchana kufika Wizarani Dodoma kuchukua vyeti vyao vya usajili ambavyo vimekaa muda mrefu bila kuchukuliwa.Orodha ya vyeti imeatishwa hapa.