Matukio

SIKU YA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WAZEE TAREHE 15 JUNI, 2023

Mahali

KILA MKOA UNAADHIMISHA

Tarehe

2023-06-15 - 2023-06-15

Muda

8:00 ASUBUHI - 12:00 MCHANA

Madhumuni

Wazee ni kundi muhimu katika jamii yetu lililobeba uzoefu mkubwa, ujuzi, busara, taswira na kumbukumbu ya mambo mbalimbali. Siku hii muhimu ilitengwa na Umoja wa Mataifa kwa Azimio Namba 66/127 lililoamua kuwa na siku moja katika mwaka kwa ajili ya kupaza sauti ili kupinga vitendo vya aina zote za ukatili kwa Wazee ikiwa ni pamoja na ukatili wa kimwili, kihisia, kisaikolojia na kiuchumi.

Event Contents

Siku muhimu ya Kuelimisha na Kupinga Ukatili kwa Wazee yenye kauli mbiu “Wazee Wanastahili Heshima na Usikivu Wetu”.

Washiriki

WANANCHI WOTE

Ada ya Tukio

HAKUNA

Simu

+255 26 2963341/42/46

Barua pepe

ps@jamii.go.tz