Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Kitelezi

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara Ndogondogo (Wamachinga), Madereva wa pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka lililofanyika tarehe 08 Januari, 2025 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.