Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

MAKABIDHIANO YA OFISI

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Eliakim Chacha Maswi, akipokea Sera, Sheria na Miongozo mbalimbali ya wizara hiyo kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu aliyepita Dkt. John Jingu. Maswi amepokea vitendea kazi hivyo Mei 19, 2026 katika ofisi za wizara zilizopo mji wa Serikali Mtumba, Hatua ya makabidhiano ni baada ya uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Makatibu Wakuu Mei 02, 2026 ambapo Dkt. John Jingu aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Katiba na Sheria.
Hakuna Taarifa kwa sasa

slot gacor