Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

KONGAMANO LA WANAWAKE KANDA YA ZIWA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amewahimiza wanawake kushiriki kwa wingi katika sekta ya madini kama njia ya kuwawezesha kiuchumi na kuchochea maendeleo ya taifa