Videos |Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

Albamu ya Video

SIKU YA KUPINGA UKEKETAJI

Simulizi za manusura wa ukeketaji

Posted on: Feb 05, 2024

Ufungaji wa Kongamano la Wanawake Wajasirimali Singida

Serikali kupitia utengaji wa asilimia 4 ya mapato ya ndani ya Halmashauri kwa ajili ya wanawake, jumla ya Shilingi 63,489,318,080/= zimetolewa kama mikopo yenye masharti nafuu wanawake Wajasiriamali 938,802 katika Halmashauri mbalimbali hapa Nchini.

Posted on: Sep 01, 2020

Kongamano la Wanawake Wajasirimali Singida

Serikali kupitia utengaji wa asilimia 4 ya mapato ya ndani ya Halmashauri kwa ajili ya wanawake, jumla ya Shilingi 63,489,318,080/= zimetolewa kama mikopo yenye masharti nafuu wanawake Wajasiriamali 938,802 katika Halmashauri mbalimbali hapa Nchini.

Posted on: Sep 01, 2020

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE WA AFRIKA JULAI 31 KILA MWAKA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa Wizara- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kuizingatia tarehe 31 mwezi Julai kila mwaka na kuhakikisha Tanzania inaadhimisha Siku ya Wanawake wa Afrika.

Posted on: Feb 18, 2020

ALIYOYAZUNGUMZA NAIBU WAZIRI DKT NDUGULILE WAKATI ALIPOKUTANA NA WAZEE WA KIMILA WILAYA YA SIMANJIRO

ALIYOYAZUNGUMZA NAIBU WAZIRI DKT NDUGULILE WAKATI ALIPOKUTANA NA WAZEE WA KIMILA WILAYA YA SIMANJIRO

Posted on: Nov 15, 2018

WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO YATOA TAARIFA YA USIMAMIZI WA NGOS

Serikali imesema Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005 imeweka masharti kwa mashirika yaliyokuwa yamesajiliwa katika Sheria nyingine na yanasifa za kusajiliwa kama Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, kuomba Cheti cha Ukubalifu chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali

Posted on: Nov 14, 2018